download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS
Mhusika Mabula
Ni muhusika mkuu katika tamthilia. Ni mume wake mishi na babake Dama.
Sifa
- Ni mwenye bidi– anafanya kazi kutosheleza mahitaji ya famila yake
- Ni mwenye utu– anafchua uozo katika viongozi kwa ajili ya wanachi.
- Ni mjasiri/shujaa– anaipoteza kazi yake kutokana na ujasiri wa kusema kwamba kuna ubadhirifu wa mali ya umma.
- Ni mwenye matumaini– anaishi kwa matumaini kwamba siku moja atapata kazi nyingine
- Ni mlevi– baada ya kuipoteza kazi yake anabadilika kuwa mlevi wa kila siku.
- Ana mapenzi ya dhati– kama mume wake mishi na babake dama anang’ang’ana
kuhakikisha familia yake inaendelea vyema.
Mishi
download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS
Bi.Buba
download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS
Dama
download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS