Download All Documents- (Ksh 299) Full Day
Hurry during this Offer

Grade 7 (JSS) Kiswahili Topical Questions and Answers

MASWALI YA MADA ZOTE GREDI YA 7 KISWAHILI.

KIFUNGU CHA 1: USAFI WA KIBINAFSI

ZOEZI 1

1. Tunga  sentensi tano kuhusu usafj wa kibinafsi ukizingatia matumizi ya herufi kubwa na kikomo  A) . 

E).

2. Pisia mistari maneno yaliyotumia herufi kubwa katika sentensi zifuatazo 

  • Vijana wa kijiji cha Pemba wanazingatia usafi wa kibinafsi. 
  • Ugonjwa wa saratani ni hatari sana. 
  • Usafi wa meno unadumishwa_ kwa kupiga mswaki ukitumia dawa ya meno na maji safi. 
  • Nilimtembelea mjomba wangu_ tarehe 30.01.2023. 
  • Julia alinunua kichana kwa shilingi 30.50 kwenye duka la Naivas. 

Soma sentensi zifuatazo kisha utambue nomino za pekee 

  • Ijumaa ijayo nitaenda kuzuru nchi ya Uhabashi. 
  • “Sitaki kwenda Kisum kabla ya kwenda Mombasa,” baba alisema. 
  • Mto Athi unaelekeza maji yake katika Bahari Hindi. 
  • Oktoba huwa jua kali kuliko Julai. 
  • Belende anapenda kusoma Kiswahili. 

1.Tambua nomino za kawaida kwenye sentensi zifuatazo 

(a) Rafu huwekelewa vitabu darasani. 

  • Kitabu chake kimepotea. 
  • Wewe umeumwa na mbu hatari. 
  • Futa ubao mwalimu aandike
  • Matunda huoshwa kabla ya kuliwa

KIFUNGU CHA 2: LISHE BORA

Tumia maneno yafuatayo kuunda vitanza ndimi vyenye maana 

  • Adhiri / athiri 
  • Ridhi / rithi 
  • Dhamini / thamini 
  • Dhibiti / thibiti 
  • Dhamani / thamani 

ZOEZI 2 

Tumia msamiati ufuatao kutunga sentensi 

  • Vitamin 
  • Lishe bora 
  • Afya 
  • Mboga 
  • Viinilishe 

ZOEZI 3 

Tunga sentensi kwa kutumia nomino za makundi zifuatazo 

  • Fungu la nyanya – 
  • Safu ya milima- 
  • Halaiki ya watu_ – 
  • Bunda la noti – 
  • Shehena ya mizigo – 

Zoezi 4 

  1. Tambua nomino za dhahania kwen e orodha ifuatayo

 Mwalimu, uzuri, taa, ubaya, Amani, shibe, ujasini, lishe, afya, huruma, tembea, uchovu. 

  • Tumia nomino za dhahani ulizoandika kutunga sentensi tano. 
  • Uhuru wa wanyama 

KIFUNGU CHA 3: UHURU WA WANYAMA

ZOEZI 5 

Pigia mstari nomino za wingi kwenye sentensi zifuatazo 

  1. Chemsha maziwa haya unywe. 
  • Chai haina sukari. 
  • Chakula hakina mafuta. 
  • Wino umemwagika kitabuni. 
  • Mgomba utapandwa mchangani. 

ZOEZI 6

 Soma sentensi zifuatazo kisha upigie mistari nomino za vitenzi – jina 

  1. Kuimba kwake kuliwavutia. 
  2. Kunyonya kwa ndama kunaboresha siha. 
  3. Kupumzika huko kulimwimarisha ng’ombe afya yake. 
  4. Kutunza wanyama kunasisitizwa na kila mfugaji.
  5. Kusoma kwake kuhusu haki za wanyama kulimwongezea maarifa.

KIFUNGU CHA 4: AINA ZA MALI ASILI.

ZOEZI 7

  1. Taja mitindo mitatu ya kuwasilisha nyimbo za watoto.
  2. Taja mitindo mitatu ya kuwasilisha bembelezi. 
  3. Tunga na umwimbie rafiki yako wimbo wa bembelezi au nyimbo za watoto

ZOEZI 8

1. Tunga sentensi kuonyesha wakati uliopo -na- 2. Tunga sentensi kuonyesha wakati uliopita -li-

3. Tunga sentensi kuonyesha wakati ujao  -ta-

Zoezi 9

 1. Andika maamkuzi yanayotumika katika miktadha ifuatayo na majibu yake. 

  • Mtoto kwa mzazi au mlezi. 
  • Wakati wa asubuhi (c) Wakati wa jioni. 
  • Watoto kwa watoto. 
  • Mtoto mdogo kiumri kwa mkubwa wake? 

KIFUNGU CHA 5: UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Zoezi 10 

1. Taja wakati ambao maagano yafuatayo hutumika. 

  • Buriani – 
  • Safari njema – 
  • Kwaheri – 
  • Usiku mwema – 
  • Alamsiki 

Zoezi 11 

1. Pigia mstari vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea 

  • Watoto wangali wanacheza. 
  • Mwalimu angali anasoma. 
  • Wakulima wangali wanapanda mahindi. 
  • Mvua ingali inanyesha. 
  • Serikali ingali inasambaza maji safi. 

2. Pigia mistari vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea kwenye sentensi zifuatazo 

(a) Shamba lilikuwa likipaliliwa tulipofika.  (b) Hakimu alikuwa_ asikiliza kesi ya  unyanyazaji. 

  • Mama alikuwa anapika ugali jioni. 
  • Mgeni alikuwa akitembea nijiani.
  • Nilipofika nyanya alikua akilala, 

KIFUNGU CHA 6: USALAMA SHULENI

Zoezi 12 

1. Pigia mstari vitenzi vikuu kwenye sentensi Zifuatazo 

  • Wajenzi walikuwa wakijenga nyumbani. 
  • Wanafunzi waliweza kusafisha maktaba jana. 
  • Bawabu angali analinda lango la shule. (d) Itambidi mfanyakazi alime shamba lote. 

(e) Mtoto huyo ameweza kuponea ajali. 

2. Tunga sentensi tano kwa kutumia vitenzi vikuu 

ZOEZI 13

  1. Taja vitenzi visaidizi vitano unavyojua
  2. Tunga sentensi ukitumia vitenzi visaidizi ulivyotaja hapo juu

KIFUNGU CHA 7: KUHUDUMIA JAMII SHULENI

Zoezi 14 

1. Soma kifungu kifuatacho kisha ufanye _ shughuli zinazofuata 

Tunapoketi na kutafakari kuhusu elimu, tunaona kwamba elimu ni kitu muhimu sana katika jami, nayo humsaidia adinasi kila kuchao. Kwanza kabisa, 

elimu haipatikani shuleni na vyuni tu bali huendelea kila siku. Utakubaliana name nikisema kuwa kila siku unasoma jambo jipya katika ulimwengu huu hata kama uliyakamilisha masomo ya chuoni mwongo mzima uliopita. Nasema haya uyapatayo hutokana na visa mbalimbali. Vinavyowapata aila au sahibu yako na kwa hivyo ukatahadhari kabla ya kupatwa habari ile.

  • Andika habari kuu za aya hiyo. 
  • Andika sentensi moja inayoeleza habari kuu za aya hiyo kwa usahihi. 
  • Eleza maana ya ufupisho. 

Zoezi 15 

Pigia mstari vitenzi vishirikishi kwenye sentensi zifuatazo 

  • Suleiman ni mtoto mwadilifu sana.
  • Sisi si wavivu katika kila tufanyalo. 
  • Kitanda chako ki nyuma ya mlango. 
  • Wao ndio washindi wetu wa Kiswahili. 
  • Katana ndiye mwimbaji hodari. 

Tunga sentensi ukitumia vitenzi vishirikishi vifuatavyo

  • Vi – 
  • Si 
  • Yu 
  • Ndisi 
  • Ni 

KIFUNGU CHA 8: ULAGUZI WA BINADAMU

Zoezi 16 

  1. Eleza maana ya mazungumzo ya kupasha habari. 
  • Ni tofauti gani illyopo baina ya mazungumzo ya kupasha habari na aina nyingine za mazungumzo. 
  • Eleza maana za maneno yafuatayo. 
  • Ploti – 
  • Mandhari – 
  • Eleza umuhimu wa ploti ya novella. 
  • Eleza umuhimu wa mandhari ya novella. 

Zoezi 17 

  1. Tunga sentensi tano zenye ngeli ya U — I
  2. Tunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U -l 

a) 

b) 

C) 

d) 

e) 

KIFUNGU CHA 9: MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA MAWASILIANO

Zoezi 18 

  1. Andika vitanza ndimi tano zenye sauti d na nd 
  2. Tunga sentensi ukitumia vitanza ndimi ulizoandika hapo juu.

Zoezi 19 

1. Tunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi ukitumia nomino zifuatazo.  (a) Kidole 

(b) Kitoto 

(c} Choo 

  • Kitanda 
  • Chakula 

Zoezi 20 

1. Andika wingi wa sentensi zifuatazo, 

  • Jaa jipya linatupiwa taka – 
  • Gari la babu yangu –  (c) Nanasi lilioiva ni tamu – 
  • Jimbo lako limenawiri kwa sababu ya kilimo biashara  
  • Jengo lenye kifaa cha kidijitall lihifadhiwe 

2. Tunga sentensi zenye upatanisho wa kisaru! wa ngeli ya LI – YA ufaao. 

(a) Jani –  (b) Jicho – 

(c) Bega –  (d) Panzia –  (e) Dirisha – 

Zoezi 21 

1. Toa maelezo ya msamiati ufuatayo. 

  • Kipepesi – 
  • Intaneti – 
  • Arafa – 
  • Pigwa jeki –  (e) Barua pepe – 
  • Kujipalia makaa – 
  • Tovuti – 

KIFUNGU CHA 10: KUJITHAMINI

Zoezi 22 

  1. Watu katika mchoro huo wanafanya ain? 
  • Wimbo gani unaoweza kuimbwa na watu hao? 
  • Andika umuhimu tano wa nyimbo za kazi. 

Zoezi 23 

  1. Tambua mazingira yanayoonekana kwenye picha hizo. 
  • Ni nyimbo gani zinazohusishwa na mazingira uliyotambua? 
  • Imba wimbo wowote unaoweza kuimbwa katika shughuli zinazohusishwa na mazingira mMojawapo. 
  • Andika umuhimu wa nyimbo za dini. 

(a). 

Zoezi 24

     Nomino                     Kinyume

  1. Mvulana
  2. Koo 
  3. Bibi 
  4. Mjomba
  5. Fahali
  6. Tajiri

2.

Kivumishi.                Kinyume

Refu

Eupe

Karimu

Safi Nene

KIFUNGU CHA 11: MAJUKUMU YA WATOTO

Zoezi 25

1. Jedwali la vitenzi na minyambuliko yake

Kutenda.           Kutendea.          Kutendwa

Pigia

Soma

Chukua

Omba

Cheza

Fua

Beba

KIFUNGU CHA 12: MAGONJWA YANAYOAMBUKIZWA

Zoezi 26 

  1. Tunga sentensi sahili tano Zinazolenga magonjwa ya kuambukizwa.
  • Tunga sentensi ambatano tano kuhusu magonjwa ya kuambukizwa. 

KIFUNGU CHA 13: UTATUZI WA MIZOZO

Zoezi 27

 1. Eleza mbinu za lugha zifuatazo huku ukizitolea mfano.

  • Tashbihi
  • Methali 
  • Chukutanakali za sauti 
  • Nahau 

Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati

 Zoezi 28 

_ Ukanushaji ni hali ya kukataa jambo. 

1. Tunga sentensi tatu katika wakati uliopo uliopita na ujao.

2 Kanusha sentensi ulizozutunga.

3. Kanusha sentensi ulizozitunga. 

  • Mazungumzo baina yao yalipunguza uhasama. 
  • Sisi tutachoma taka. 
  • Wakazi wale watapanda miti.
  • Mzozo huo utatatuliwa na chifu. 
  • Meka anamwambia mzazi wake hela. 

KIFUNGU CHA 14: MATUMIZI YA PESA

Zoezi 29

Hali ya wastani.             Hali ya ukubwa

Samaki

Jicho

Choo

Ndoo

Ukuta Mwana

KIFUNGU CHA 15: MAADILI YA MTU BINAFSI

ZOEZI 30

1. Badilisha sentensi zifuatazo kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa. 

(a) Nikijua utanigeuka sitakusaidia”, mkopeshaji alimwambia mnunuzi. 

{b) Msomaji wa habari allsema “jua likichomoza nitaanza kazi”. 

  • “Tuhifadhi vyema_ vipakatalishi vyetu baada ya somo”, mwalimu alisema. 
  • “Mtu mwenye maadili hupendwa na wengi”. Kiranja aliwaambia. 
  • Weneta alisema, Uzalendo wako utajulikana iwapo utalipa ushuru kikamilifu’. 

2. Badilisha sentensi zifuatazo kutoka usemi taarifa hadi usemi halisi 

  1. Almasi aliwahimiza wenzake kuwa wawe waangalifu) wanaposakura kwenye mtandao. 
  • Mgeni mwalikwa aliwaambia kuwa kuihudumia jamii shuleni ni jukumu la kila mmoja wao. 
  • Mwalimu aliwaambia kuwa wangefaulu maishani mwao_ ikiwa wangezitoa maadili ya mtu binafsi. 
  • Nyanya alimwomba mbalamwezi amsaidie kubeba mzigo. 
  • Chifu aliwaeleza wazazi kwamba watoto wa jinsia zote ni sawa wasibaguliwe. 

KISWAHILI TATHMINI

Mtihani wa Tathmini 1 

Sehemu A 

Kuzingatia 1_wa mazingira 2_ swala la mjadala tena. 3_ni watoto wachanga tu ambao 4_ukweli huu. 5_ ni jambo la kupoteza tumaini kuona mazingira yakichafuliwa 6 . Wananchi wa humu nchini na kwingineko ulimwenguni 7_wanaendelea _ 8 wenzao 9_ kuyaweka mazingira katika hali safi. Tusiwe pweza wa kujipalia maji. Tuyatunze mazingira 10_. 

A                     B                   C.                                 D. 

1.Usafi          Safi             usafi                     uchafu 

2.ni                si.                Ndio                      sio

3.kwa vile    Angalau     ikiwa.                     labda 

4.hawayui    hawajui     wanajua                 hawakuijua 

5.kwa hivyo   Na vile        Hata hivyo            Na pia 

6.kweli          Pia.              kabisa.                 hakika 

  • walikua    wangall       wangekua            wanakuwa 
  • kusaidia     kuagiza       kuhamasisha       kuendeleza 
  • kwa kuwa   dhidi ya      pia.                        ili

10.yetu          letu             chetu.                    zetu  

SEHEMU YA B 

Kusoma 

Soma kifungu alafu jibu maswali kutoka 11 – 20 

Unapotembeatembea katika miji na majiji yetu makuu ni kawaida kuwaona watoto walionenepa sana. Utawaona wameandamana na wazazi wao wanaoonekana kutojali afya ya watoto wao. Watoto wenyewe wataonekana wenye raha, wasio na lolote la kuashiria kuwa wanaijali afya yao. Ukikutana nao katika maduka makuu, utawapata wakiburura troli zilizo sheheni mapochopocho ya kila aina. Kaukau, biskuti, chokoleti, keki na tamutamu nyinginezo. Kutoka hapo, ukiwafuata wataingia katika mikahawa na kuagiza vibanzi, kuku na sharubati au soda. Baada ya kula na kushiba shibe yao, wataingia magarini mwao na kupelekwa nyumbani au kustarehe kwingineko. Vyakula hivi vyenye mafuta na sukari nyingi ndivyo husababisha miili iwe minene. Kuutia msumari moto kwenye kidonda, mazoezi ya kunyoosha misuli hayapo. Nyumbani nako hawana majukumu yoyote. Kazi ni kutazama runinga na sinema. Si nadra wao kufuliwa nguo, kupigiwa viatu rangi na mengine. Wajakazi na watwana wao hulimbikiziwa kazi zote. 

11.Watoto wanaozungumziwa wana sifa ya 

12.Vyakula wanavyoagiza wana hawa vina upungufu wa

13.Si nadra…..maana yake ni 

14.Watoto hawa huburura troli zilizojaa 

15.Vyakula vyenye mafuta vyenye mafuta husababisha nini

 16.Andika ufupisho wa ufahamu huu  17.Andika kichwa mwafaka cha ufahamu  huu. 

SEHEMU YA C 

18. Sahihisha sentensi zifuatazo ukizingatia matumizi sahihi ya kikomo. 

  • Mama Tulia ameenda sokoni kununua matunda 
  • Mji wa Nakuru utapata wageni wengi tarehe 24/06/2023 
  • Zenga huangua kucha zake kila mara 19. Tunga sentensi ukitumia nomino za pekee 
  • Jumamosi 
  • Profesa Oliech 
  • Februari 

20. Pigia mstari nomino za makundi  (a) Mama alinunua chane la ndizi sokoni. 

  • Ukienda sokoni ninunulie fungu ta nyanya. 
  • Baba aliweka bunda la noti sandukuni
  • Tumia viambishi ngeli vifaavyo: 

Ndizi hii_ bivu ni _dogo sana.  

  • Tuliandikiana barua_ naye. Kauli  iliyotumika ni 
  • Andika wingi wa: 

(a) Wino uliomwagika Sakafuni umezolewa 

(c) Unapenda kucheza na mtoto 

(c) Alimuua nyoka karibu na ua. 

24, Kinyume cha ziba ni 

25. Andika ukanusho wa: 

  • Baba alikula akashiba 
  • Nyanya ameenda sokoni 
  • Mwanafunzi ataandika kitabuni 

26. Geuza katika usemi taarifa 

(a) “Kesho ni jumamosi’ mwalimu alituambia 

27. Andika majibu ya maamkuzi 

  • Sabalkheri 
  • Shikamoo 

Kuandika Insha Andika Insha ya kusisimua kuhusu 

LISHE BORA 

Leave a Comment