Download All Documents- (Ksh 299) Full Day
Hurry during this Offer

CBC Grade 3 Kiswahili Curriculum Designs-7.0-DUKANI-Mada ndogo-7.1-Msamiati

MATOKEO MAALUM YANAYOTARAJIWA Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:- kutambua msamiati wa dukani ili kuutumia katika mawasiliano, kusoma maneno yanayohusiana na shughuli za dukani ili kujenga usomaji bora, kueleza maana ya msamiati wa dukani ili kuimarisha stadi ya kuzungumza, kutumia msamiati wa dukani katika sentensi sahihi ili kuimarisha stadi ya kuzungumza, kuandika maneno yanayohusiana na … Read more

CBC Grade 3 Kiswahili Curriculum Designs-9.0-SOKONI-Mada ndogo-9.2-Kusikiliza na kuzungumza: Masimulizi

MATOKEO MAALUM YANAYOTARAJIWA Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:- kutaja vitu vinavyopatikana sokoni katika kuendeleza mazungumzo,  kutaja watu wanaopatikana sokoni  katika kuendeleza mazungumzo,  kusikiliza maelezo kuhusu sokoni ili kujenga usikivu,  kueleza shughuli zinazoendeshwa sokoni ili kuimarisha stadi ya kuzungumza, kueleza umuhimu wa soko ili kujenga stadi ya kuzungumza, kuthamini shughuli za sokoni kama njia moja … Read more