Please Limited time Offer!

How To Write Insha on Shamba Letu

Example of grade 3 Insha on Shamba Letu

Mfano wa Insha Kuhusu Shamba Letu

SHAMBA LETU

Shamba letu linapatikana Kijiji cha Uwezo. Liko karibu na shule ya msingi ya Kagajo. Shamba hilo ni kubwa sana. Baba yangu alinunua shamba hilo. Tumejeka boma yetu katika shamba hilo. Limezingirwa na ukuta mrefu sana wa mawe.

Shamba letu liko na pande mbili. Pande moja ndipo tumejenga boma yetu. Pande nyingine limejaa vitu za aina nyingi. Tumepanda mimea ya aina mbalimbali kama vile mboga aina mingi, mahindi, maharagwe na vitunguu. Sisi hupata chakula kutokana na mimea hiyo.

Katika shamba letu, tunaweka Wanyama tofauti kama sungura, kuku,mbwa, kondoo na mbuzi. Hawa Wanyama huwa wanatufaidi sana. Kama kuku hutupa mayai na wakati mwingine tunamchija kama nyama.Ngombe na mbuzi hutupa maziwa.

Katika shamba letu, baba amewaajili wafanya kazi ili wamsaidie kufanya kazi. Wakati wa likizo, tunasaidia wazazi wetu kufanya kazi shambani. Baada ya shule tunasaidia wazazi kuwapa Wanyama chakula.

Mazao ya shamba letu huwa mengi sana. Wakati mwingine tunauzia watu katika Kijiji chetu. Wakati mimea imenawili, shamba letu huwa la kupendeza. Watu wengi hupenda kujiangalilia mimea katika shamba letu. Nalipenda shamba letu.

Example of grade 3 Insha on Shamba Letu

Read Also Composition About Our School

Leave a Comment