CBC Grade 1 Kiswahili Curriculum Designs-4.0 SIKU ZA WIKI-Sub Strand -4.2-kusikiliza na kuzungumza:Masimulizi
MATOKEO MAALUM YANAYOTARAJIWA Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:- kusimulia matukio katika siku tofauti za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza, kufahamu masimulizi ya matukio ya siku za wiki aliyosimuliwa…