CBC Grade 3-Curriculum Designs-kazi ya Kiswahili-4.0-KAZI MBALIMBALI-mada ndogo-4.3- kuskiliza na kuzungumza: masimulizi
MATOKEO MAALUM YANAYOTARAJIWA Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:- kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha usikivu, kuelezea kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kuzungumza, kutaja majina …