CBC GREDI YA KWANZA-Kiswahili Curriculum Designs-8.0 VYAKULA VYA KIASILI-Sub Strand-8.1-Sauti na Majina ya Herufi za Kiswahili
MATOKEO MAALUM YANAYOTARAJIWA Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:- kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya kuzungumza, kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno katika kuimarisha…